QR check-in ya wageni mlangoni
Kila mgeni wa Smart Event Pass anapata QR pass yake. Siku ya tukio, timu ya mlangoni inascan QR kwa simu au kuandika Pass ID; mfumo unaonyesha jina la mgeni na idadi ya watu aliyoalikwa nao, na kuzuia pass moja kutumika mara mbili. Mwenye tukio anaona idadi waliofika moja kwa moja.
In English
QR code guest check-in
QR code check-in for weddings and events in Tanzania: each guest has a unique pass, door staff scan it with a phone, duplicate entries are blocked, and organisers see live attendance from their dashboard.
Unachopata
Scan kwa simu
Timu ya mlangoni inatumia simu, hakuna kifaa maalum kinachohitajika.
Hakuna kuingia mara mbili
Pass iliyokwisha tumika inaonekana mara moja.
Idadi ya waliofika
Ona waliofika na wanaosubiriwa kwa wakati huo huo.
Akaunti za mlangoni
Wahakiki wanapata ruhusa ya check-in tu, si ya data nyingine.
Jinsi inavyofanya kazi
- 1
Wageni wanapokea QR pass pamoja na mwaliko.
- 2
Tunafungua akaunti za wahakiki wa mlangoni.
- 3
Siku ya tukio wanascan QR au kuandika Pass ID.
- 4
Unaona ripoti ya mahudhurio baada ya tukio.
Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni
Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Mgeni akisahau simu yake?
Mhakiki anaweza kumtafuta kwa jina, namba ya simu au Pass ID.
Inahitaji intaneti?
Ndiyo, simu ya mhakiki inahitaji intaneti ili kuthibitisha pass kwenye mfumo.
Bei yake ni kiasi gani?
Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.
Huduma nyingine
Kadi za Mialiko za Kidijitali
Tengeneza kadi za mialiko za kidijitali na uzitume kwa WhatsApp au SMS. Kila mgeni anapata link yake binafsi, RSVP, ramani na QR pass. Digital invitation cards in Tanzania.
Mialiko ya Harusi
Kadi za mwaliko wa harusi za kidijitali zenye jina la kila mgeni, RSVP, ramani ya ukumbi na QR check-in mlangoni. Digital wedding invitations for Tanzanian weddings.
Mialiko ya Send-off
Kadi za mwaliko wa send-off (kupeleka bibi harusi) za kidijitali kwa WhatsApp na SMS, zenye jina la mgeni, ratiba, ramani na QR check-in.