+255 754 380 297info@smarteventpass.co.tz

Huduma zetu

Smart Event Pass ni mfumo wa Kitanzania wa mialiko ya kidijitali na usimamizi wa wageni. Chagua huduma unayohitaji kwa tukio lako.

Digital invitations, WhatsApp and SMS sending, QR check-in and pledge tracking for weddings and events in Tanzania.

Tuandalie tukio lako

Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.