+255 754 380 297info@smarteventpass.co.tz

Mialiko ya sherehe za kuzaliwa, mahafali na matukio ya kampuni

Smart Event Pass si kwa harusi tu. Tunatengeneza mialiko ya kidijitali, orodha ya wageni, RSVP na QR check-in kwa sherehe za kuzaliwa (birthday), mahafali, mikutano, uzinduzi na matukio ya makampuni na taasisi.

In English

Birthday, graduation and corporate event invitations

Digital invitations, guest lists, RSVP and QR check-in for birthdays, graduations, conferences, launches and corporate events across Tanzania, managed from one dashboard with live attendance reports.

Unachopata

  • Aina yoyote ya tukio

    Andika aina ya tukio lako na mfumo unalipokea.

  • Orodha ya wageni

    Pakia kwa Excel, panga kwa makundi na fuatilia RSVP.

  • QR check-in

    Hakiki wageni mlangoni kwa haraka.

  • Ripoti

    Mahudhurio na takwimu za tukio, zinazoweza kupakuliwa.

Jinsi inavyofanya kazi

  1. 1

    Tupe aina ya tukio, tarehe na ukumbi.

  2. 2

    Pakia orodha ya wageni.

  3. 3

    Tuma mialiko kwa WhatsApp au SMS.

  4. 4

    Hakiki wageni mlangoni na upate ripoti.

Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni

Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000

Ona vifurushi

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Mnahudumia makampuni?

Ndiyo. Tunasimamia mialiko na usajili wa wageni kwa mikutano, uzinduzi na matukio ya makampuni.

Bei yake ni kiasi gani?

Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร— TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.

Huduma nyingine

Tuandalie tukio lako

Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.