+255 754 380 297info@smarteventpass.co.tz

Kadi za mialiko za kidijitali Tanzania

Smart Event Pass ni mfumo wa Kitanzania wa kadi za mialiko za kidijitali (e-cards). Badala ya kuchapisha kadi za karatasi, kila mgeni anapokea kadi yenye jina lake kupitia WhatsApp au SMS, pamoja na link ya mwaliko wake binafsi yenye ratiba, ramani ya ukumbi, RSVP na QR pass ya kuingilia.

In English

Digital invitation cards in Tanzania

Smart Event Pass is a Tanzanian digital invitation platform. Each guest receives a personalised e-card on WhatsApp or SMS and a private invitation link with the programme, venue map, RSVP and a QR entry pass. Works for weddings, send-offs, Kipaimara (confirmation), birthdays, graduations and corporate events.

Unachopata

  • Jina la kila mgeni kwenye kadi

    Kadi inaandikwa jina la mgeni na idadi ya watu walioalikwa (mf. Wageni: 2).

  • Inatumwa kwa WhatsApp na SMS

    Hakuna gharama ya kuchapisha wala kusambaza kadi kwa mkono.

  • Link binafsi ya mwaliko

    Ratiba, ramani ya Google Maps, dress code, countdown na kitufe cha kuthibitisha kuhudhuria.

  • Miundo mingi ya kadi

    Chagua muundo na rangi zinazoendana na tukio lako.

Jinsi inavyofanya kazi

  1. 1

    Tunatengeneza event yako: majina, tarehe, ibada/sherehe na kumbi.

  2. 2

    Unapakia orodha ya wageni kwa Excel au kuwaongeza mmoja mmoja.

  3. 3

    Kila mgeni anatumiwa kadi yake kwa WhatsApp au SMS.

  4. 4

    Unafuatilia nani amepokea, nani amethibitisha na nani amefika.

Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni

Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000

Ona vifurushi

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Kadi ya mwaliko ya kidijitali ni nini?

Ni kadi ya mwaliko inayotumwa kwa simu (WhatsApp au SMS) badala ya kuchapishwa. Kwa Smart Event Pass kila mgeni anapata kadi yenye jina lake na link ya mwaliko wake binafsi.

Mgeni anahitaji kupakua app?

Hapana. Mgeni anafungua link kwenye simu yake kama ukurasa wa kawaida wa mtandao.

Mnahudumia sehemu gani?

Tuko Dar es Salaam na tunahudumia matukio kote Tanzania, kwa sababu mialiko inatumwa mtandaoni.

Bei yake ni kiasi gani?

Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร— TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.

Huduma nyingine

Tuandalie tukio lako

Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.