Kutuma mialiko kwa WhatsApp na SMS
Badala ya kutuma mwaliko mmoja mmoja, Smart Event Pass inatuma kadi ya mwaliko kwa WhatsApp au SMS kwa wageni wote, kila mmoja na jina lake na link yake binafsi. Unaona nani amepokea na nani bado, na unaweza kutuma tena kwa ambao hawakupokea.
In English
Bulk WhatsApp & SMS invitations
Send personalised event invitations to every guest by WhatsApp or SMS in one go, each with the guest's name and private link, and track delivery from the dashboard. Thank-you messages and reminders can be sent the same way.
Unachopata
Kwa wote mara moja
Kitufe kimoja kinatuma mialiko kwa wageni wote wa event.
Jina la kila mgeni
Ujumbe na kadi vinamtaja mgeni kwa jina.
Ufuatiliaji
Ona waliopokea, waliosoma na ambao bado.
Shukrani na vikumbusho
Tuma shukrani baada ya tukio au vikumbusho kabla yake.
Jinsi inavyofanya kazi
- 1
Pakia orodha ya wageni na namba zao za simu.
- 2
Kagua ujumbe wa mwaliko.
- 3
Tuma kwa WhatsApp, SMS au vyote viwili.
- 4
Fuatilia na utume tena kwa ambao hawakupokea.
Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni
Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Ujumbe unatoka namba gani?
Mialiko ya WhatsApp inatumwa kupitia akaunti rasmi ya biashara ya Smart Event Pass.
Mgeni asiye na WhatsApp?
Anaweza kutumiwa SMS yenye link ya mwaliko wake.
Bei yake ni kiasi gani?
Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.
Huduma nyingine
Kadi za Mialiko za Kidijitali
Tengeneza kadi za mialiko za kidijitali na uzitume kwa WhatsApp au SMS. Kila mgeni anapata link yake binafsi, RSVP, ramani na QR pass. Digital invitation cards in Tanzania.
Mialiko ya Harusi
Kadi za mwaliko wa harusi za kidijitali zenye jina la kila mgeni, RSVP, ramani ya ukumbi na QR check-in mlangoni. Digital wedding invitations for Tanzanian weddings.
Mialiko ya Send-off
Kadi za mwaliko wa send-off (kupeleka bibi harusi) za kidijitali kwa WhatsApp na SMS, zenye jina la mgeni, ratiba, ramani na QR check-in.