Bei zetu
Mialiko ya kidijitali, michango na check-in mahali pamoja. Bei ni kwa kila mgeni — chagua kifurushi kinachofaa tukio lako.
Digital invitations, contributions and check-in in one place. Priced per guest, from TSh 1,500.
Self-Scan
Mnahakiki wenyewe
You Scan Yourself
TSh 1,500/ mgeni
- Mialiko ya kidijitali yenye QR pass kwa kila mgeni
- Inatumwa kwa WhatsApp au SMS
- Orodha ya wageni na ufuatiliaji wa waliotumiwa
- Ruhusa ya kuscan ili mhakiki wageni wenyewe
- Inapendwa zaidi
With Scanners
Tunaleta wahakiki
We Bring the Scanners
TSh 2,000/ mgeni
- Kila kitu kilicho kwenye Self-Scan
- Timu yetu ya kuscan inakuwepo siku ya tukio
- QR check-in ya haraka, bila foleni
- Ripoti ya mahudhurio
Complete
Kila kitu ndani
Everything Included
TSh 3,000/ mgeni
- Kila kitu kilicho kwenye With Scanners
- Save the Date kwa wageni wote
- Link ya ahadi na ufuatiliaji wa michango
- Vikumbusho vya michango na ripoti ya fedha
- Jumbe za shukrani zinazotumwa zenyewe
Mfano: wageni 200 × TSh 1,500 = TSh 300,000
Maswali kuhusu bei? Piga au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.
Tuandalie tukio lako
Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.