+255 754 380 297info@smarteventpass.co.tz

Mfumo wa michango ya harusi na sherehe

Kamati za harusi na sherehe zinatumia Smart Event Pass kufuatilia ahadi za michango na malipo yake. Kila mchangiaji anaonekana na ahadi yake, alicholipa na salio. Mfumo unatuma vikumbusho na risiti kwa SMS au WhatsApp, unarekodi matumizi dhidi ya bajeti, na kutoa ripoti ya kufunga hesabu.

In English

Wedding & event pledge tracking

Online pledge (michango) management for Tanzanian wedding and event committees: per-contributor pledges and partial payments, live balances, automatic SMS/WhatsApp reminders and receipts, expense tracking against budget, a committee portal and exportable closing reports.

Unachopata

  • Ahadi na malipo

    Malipo kidogo kidogo, salio la kila mchangiaji na jumla iliyokusanywa.

  • Vikumbusho na risiti

    SMS na WhatsApp za kukumbusha na kushukuru zinatumwa moja kwa moja.

  • Matumizi na bajeti

    Rekodi matumizi kwa makundi na uone bajeti iliyobaki.

  • Ripoti kwa kamati

    Ripoti za kufunga hesabu na Excel za malipo na matumizi.

Jinsi inavyofanya kazi

  1. 1

    Tunaweka event na wanakamati wanaoruhusiwa kuona michango.

  2. 2

    Ingiza ahadi za wachangiaji, au wajiandikishe kupitia link.

  3. 3

    Rekodi malipo; mchangiaji anapokea risiti na vikumbusho vya salio.

  4. 4

    Pakua ripoti ya mwisho ya michango na matumizi.

Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni

Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000

Ona vifurushi

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Wanakamati wanaweza kuona michango?

Ndiyo. Kuna portal ya kamati inayowaonyesha michango na matumizi kulingana na ruhusa walizopewa.

Vikumbusho vinatumwa vipi?

Kwa SMS au WhatsApp, kwa ratiba unayoweka, vikiwa na kiasi cha ahadi, kilicholipwa na salio.

Bei yake ni kiasi gani?

Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร— TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.

Huduma nyingine

Tuandalie tukio lako

Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.