+255 754 380 297info@smarteventpass.co.tz

Mialiko ya send-off ya kidijitali

Kwa sherehe ya send-off (kupeleka bibi harusi), Smart Event Pass inatuma kadi ya mwaliko yenye jina la bibi harusi na la mgeni, ratiba ya sherehe, ramani ya ukumbi na QR pass ya kuingilia. Unafuatilia wageni waliopokea, waliothibitisha na waliofika.

In English

Send-off invitations

Digital send-off party invitations for Tanzanian families: personalised cards sent on WhatsApp or SMS, a guest invitation page with schedule and map, RSVP and QR check-in at the venue.

Unachopata

  • Kadi yenye jina la bibi harusi

    Kadi inamtaja bibi harusi na mgeni anayealikwa.

  • WhatsApp na SMS

    Mialiko na jumbe za shukrani zinafika kwa simu ya kila mgeni.

  • Ramani na ratiba

    Mgeni anaona saa na mahali pa sherehe, na kufungua ramani kwa kubonyeza mara moja.

  • QR check-in

    Hakiki wageni mlangoni na uone idadi waliofika.

Jinsi inavyofanya kazi

  1. 1

    Tupe jina la bibi harusi, tarehe na ukumbi wa send-off.

  2. 2

    Pakia orodha ya wageni.

  3. 3

    Wageni wanapokea kadi zao kwa WhatsApp au SMS.

  4. 4

    Siku ya sherehe, wageni wanahakikiwa kwa QR mlangoni.

Bei kuanzia TSh 1,500 kwa mgeni

Self-Scan TSh 1,500 ยท With Scanners TSh 2,000 ยท Complete TSh 3,000

Ona vifurushi

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Send-off na harusi zinaweza kuwa kwenye mfumo mmoja?

Ndiyo. Kila sherehe inakuwa event yake, na unaweza kusimamia zote kutoka akaunti moja.

Naweza kuwatumia wageni ujumbe wa shukrani baada ya sherehe?

Ndiyo. Mfumo una kitufe cha kutuma shukrani kwa wageni wote baada ya tukio.

Bei yake ni kiasi gani?

Bei ni kwa kila mgeni: Self-Scan TSh 1,500, With Scanners TSh 2,000, Complete TSh 3,000. Mfano: wageni 200 ร— TSh 1,500 = TSh 300,000. Angalia vifurushi vyote kwenye ukurasa wa Bei, au tuandikie WhatsApp +255 754 380 297.

Huduma nyingine

Tuandalie tukio lako

Tuambie kuhusu tukio lako upate bei na ushauri. Tunahudumia matukio kote Tanzania.